GET /api/v0.1/hansard/entries/1565755/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1565755,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1565755/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hili ni jambo linatuhusu na kututia wasiwasi. Tunajua kuna hofu ya joto linaloendelea kuzidi ulimwengu mzima na ndio sababu tumeambiwa na pia Serikali imetuambia kila mtu apande miti miwili au mitatu ili misitu yetu iendelee kukua na sio kupungua."
}