GET /api/v0.1/hansard/entries/1565777/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1565777,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1565777/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mwaka jana, kulikuwa na changamoto nyingi ambayo ilisababisha Mswada huu kupelekwa katika maelewano kisha ikarejea hapa. Hio ilitendeka kwa sababu Mswada wa fedha ya Serikali ilikuwa imeondolewa katika Bunge. Mwaka huu, tumeona kwamba Serikali---"
}