GET /api/v0.1/hansard/entries/1565855/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1565855,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1565855/?format=api",
"text_counter": 270,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "Kiongozi wa Wachache",
"speaker": null,
"content": " Asante, Bw. Naibu wa Spika. Sijui kama umesikia ndugu yetu Wakoli akisema ya kwamba, kuna wale ambao watoto wao wanakunywa maziwa na zile chupa za kawaida na kuna wale watoto wa mabwenyenye wanaokunywa na zile chupa zilizotengenezwa kisawasawa. Sijui kama kuna chupa aina hiyo za watoto wadogo za kunyonya. Labda atueleze zaidi."
}