GET /api/v0.1/hansard/entries/1566043/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566043,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566043/?format=api",
"text_counter": 93,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa nafasi hii. Kwanza nampa kongole kwa kuchaguliwa na Rais kama Waziri wa mambo ya Jinsia na Utamaduni katika nchi yetu ya Kenya. Nina matumaini kuwa utafanya kazi inavyotakikana na utaweka bendera ya mume wako kama ilivyokuwa hapa akifanya kazi kwa bidii na juhudi kuona kwamba amesaidia watu wake wa huko nyumbani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}