GET /api/v0.1/hansard/entries/1566197/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1566197,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566197/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuwakaribisha wanafunzi wa Shule ya Upili ya Tenwek na walimu wenzangu ambao wameambatana nao. Wanafunzi hawa wanaonyesha ari na azma ya kupita mitihani na kufuata yale nyoyo zao zinataka."
}