GET /api/v0.1/hansard/entries/1566199/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1566199,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566199/?format=api",
    "text_counter": 249,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ninawapa mkono wa heri njema kwamba wanapotutazama sisi vile vile tumetembea safari ndefu ya masomo. Nimekuwa mwalimu wa shule ya upili na sasa mimi ni Seneta. Fanya kile walimu na wazazi wanasema. Jifunze kwa kwa Waswahili husema: “Ásiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.”"
}