GET /api/v0.1/hansard/entries/1566200/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566200,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566200/?format=api",
"text_counter": 250,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Msijitoze katika maisha ya ulimbwende na raha ilhali uzee uko njiani waja. Jienjoy, furahieni kuwa hapa Seneti, tengeneza urafiki kutoka pembe mbali mbali za nchi ya Kenya. Utakapofika umri utajua kuwa heri kuziba ufa kuliko kujenga ukuta."
}