GET /api/v0.1/hansard/entries/1566352/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1566352,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566352/?format=api",
    "text_counter": 105,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "NEMA pia wamezembea katika kazi yao. NEMA wanatakikana wazunguke na kuangalia mazingira kwamba yako sawa kwa maisha ya binadamu. Lakina mpaka sasa NEMA wamezembea katika kazi hiyo muhimu. Ninaunga mkono taarifa hii na tutahakikisha ya kwamba wale ambao wanahusika katika utupaji takataka na uchafuzi wa mazingira wanaadhibiwa kulingana na sheria. Asante, Bw. Spika."
}