GET /api/v0.1/hansard/entries/1566638/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566638,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566638/?format=api",
"text_counter": 55,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ya nchi yetu. Tuwache vita mingi. Hii Wizara ya Afya imekuwa na shida mingi za hapa na pale. Nikiwa Seneta wa Embu County, niko na ushuhuda kwamba SHA inafanya kazi vile inafaa katika kaunti nyingi. Hata sisi kama wajumbe, mambo ya kuchangisha katika Harambee inaendelea ikipungua. Naomba wale wafanyakazi wa zamani wa NHIF wasitimuliwe. Wengine ni wachanga, hawajaajiriwa kwa muda mrefu na huenda hawakufanya kosa lolote. Naunga mkono waongezewe muda na wafunzwe vile watafanya kazi katika SHA. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu SHA lakini mtu yeyote akiwa mgojwa na alazwe hospitalini, pesa inalipwa vizuri. Kwa hivyo, kutimua hawa wafanyakazi sio kurekebisha; wako na ujuzi wa elimu. Naunga mkono kwamba waangaliwe ili warudishwe kazini; wasitimuliwe. Kwa miaka mingi, tumeona watu wengine wakifutwa kazi wanafariki au familia zinazoroteka. Agenda ni kuangalia vile watarudishwa kazi ili SHA iendelee vizuri. Bado kwa mambo ya SHA; tumeskia wanamziki waliokuwa wameitwa na Deputy"
}