GET /api/v0.1/hansard/entries/1566640/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1566640,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566640/?format=api",
    "text_counter": 57,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "wa Kenya wakishuhudia na kusema kwamba wataimba vile SHA inafanya kazi. Ingawaje wengine walisema ni makosa, nashukuru Rais na Naibu wake. Wawaite wanamuziki wote ili waweze kuimba vile SHA inafanya kazi katika nchi yetu ya Kenya. Bw. Spika, ni heri hao wafanyakazi ambao wanastahili kufutwa warudishwe ili waelimishwe. Najua wakipatiwa nafasi, watajitetea na mambo ya SHA itakuwa sawa. Naunga mkono hii Taarifa iliyo letwa na Sen. (Dr.) Khalwale."
}