GET /api/v0.1/hansard/entries/1566647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1566647,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566647/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sifuna",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13599,
        "legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
        "slug": "sifuna-edwin-watenya"
    },
    "content": "Bw. Spika, nilikuwa nimetohoa lakini nimekosolewa na Mhe. Mwaruma, niuwie radhi. Nilikuwa nasema kwamba hayo mahojiano yanayofanyika ni mahojiano bandia. Wale wa kupewa barua tayari wanajulikana. Jambo la kutamausha zaidi ni kwamba, hata hawa ambao wamechaguliwa juzi kama directors walikuwa kwenye tume ya maadili ya kupambana na ufisadi. Sasa hivi, nitaleta hoja hapa ya ushahidi kwamba wale ambao wamepewa hizi nafasi tayari walikuwa na tuhuma za ufisadi na Shirika la Ethics and Anti-CorruptionCommission (EACC) ambalo lilikuwa limetangaza ya kwamba wanafaa waende kujibu mashtaka ya ufisadi mahakamani. Itakuwaje tena leo wamekuwa wasafi wanapewa nafasi katika shirika la SHA? Naomba hawa maseneta wenzangu, iwapo huna habari kamili, usije ukasema mambo ya uwongo ambayo huyaelewi---"
}