GET /api/v0.1/hansard/entries/1566742/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1566742,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566742/?format=api",
    "text_counter": 159,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa ruhusa kuchangia mjadala ambao unaendelea kuhusu pesa ambazo ninaunga mkono. Ningependa tuweze kusaidia kaunti zetu kwa sababu zina shida za wafanyakazi wa afya kama vile madaktari na CHPs na mambo mengine kama vile ukosefu wa maji."
}