GET /api/v0.1/hansard/entries/1566744/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566744,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566744/?format=api",
"text_counter": 161,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "milioni. Hata hivyo, ningeomba tufuatilie na kusaidia kwa sababu mara nyingi kaunti zinateseka ilhali inaonekana ni kama magavana hawafanyi kazi. Kwa hivyo, tunapoongea na kupitisha miswada ya pesa, ningeomba Mwenye kiti wa Kamati ya Seneti ya Fedha na Bajeti awe akiongea na the National Treasury ili magavana wawe wakipata pesa. Nikimaliza, hata ule mgawo wa pesa tunaotarajia kuwa kaunti zitapata pesa nyingi, ningeomba tukipitisha kila kaunti ipate Shilingi bilioni sita ili magavana waweze kusaidia counties na devolution na department zile zingine. Ni lazima the National Treasury iheshimu Seneti ili Seneti iheshimike mashinani. Kama Seneta wa Embu County, naunga mkono."
}