GET /api/v0.1/hansard/entries/1566859/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1566859,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566859/?format=api",
    "text_counter": 276,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Jambo la pili ni kuhusu royalties zinazolipwa katika kaunti zetu. Nitatoa mfano wa base titanium . Walienda Kwale wakachimba madini na sasa wamefunga. Hata hivyo, pesa zilizolipwa kwa Serikali ya Kitaifa hazijaenda katika Serikali ya Kaunti ya Kwale ili kufaidi jamii ambapo uchimbaji huo ulikuwa ukifanyika. Kaunti ya Kwale inadai karibu shilingi bilioni moja. Hizi ni pesa ambazo ni"
}