GET /api/v0.1/hansard/entries/1566861/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566861,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566861/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "ambazo zilienda kwa Serikali ya Kitaifa lakini hazijalipwa kwa Serikali ya Kaunti ya Kwale. Vile vile, karibu Shilingi milioni 700 zinastahili kulipwa kwa kamati katika maeneo ambapo uchimbaji ulikuwa unaendelea. Hata hivyo, pesa hizo hazijalipwa na Serikali ya Kitaifa."
}