GET /api/v0.1/hansard/entries/1566933/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566933,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566933/?format=api",
"text_counter": 350,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Embu County ni mojawapo ya kaunti nyingi zilizotajwa hapa. Ni maombi yangu kuwa wakati tutakapokaa pamoja tuelewane na kaunti zote zipewe shilingi bilioni sita halafu mambo ya kuelewana ianze hapo. Hii ni njia mojawapo ya kuinua kaunti kutoka kwa ule mgawo wa pesa kwa sababu tunajua wakati devolution ilianza, kulikuwa na mazungumzo ya kuwa kaunti ambazo hazikuwa zinajiweza zipewe hela nyingi. Ni maombi yangu kaunti zote zielewane ili uchumi wao uimarike. Kwa hivo, kama Seneta wa Embu County, naomba tuweze kuelewana ili tulete kaunti zote 47 pamoja kimaendeleo. Tuanze na mgao wa shilingi bilioni sita kwa kila The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}