GET /api/v0.1/hansard/entries/1566963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1566963,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566963/?format=api",
    "text_counter": 380,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika, muda umeyoyoma kwa hivyo sita sema mengi bali kuunga mkono kazi ya Kamati hii. Wamefanya kazi nzuri. Yule mama wa mtoto alipwe pesa na mambo ya madaktari ichukuliwe hatua vile inafaa ili iwe funzo kwa madaktari wengine. Ninaunga mkono kwa sababu Kamati hii imefanya kazi mzuri."
}