GET /api/v0.1/hansard/entries/1567458/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1567458,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567458/?format=api",
"text_counter": 485,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nikitoa ushuhuda, sisi Maseneta na wanasiasa, miezi mitatu iliyopita, tumekuwa na harambee nyingi lakini kwa sasa, hiyo imepungua. Ningewaomba watu wetu wajiandikishe kwa SHA kwa sababu inafanya ya kazi ili tulainishe mambo ya afya ile kusiwe na malipo yeyote. Ningeomba Serikali iangalie magonjwa ya saratani, kifua kikuu na pia ugonjwa wa sukari ili matibabu yawe free and fair na hakuna kitu mtu atakuwa analipa. Ninapea serikali ya Kenya Kwanza heko. Asante, Bw. Naibu wa Spika."
}