GET /api/v0.1/hansard/entries/1567644/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1567644,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567644/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzyo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": "Vile vile, kuna Abubakar Makaburi. Sheikh Abubakar Makaburi pia alipigwa risasi na polisi na hakuna uchunguzi wowote ulifanywa. Mwisho, kuna Sheikh Idris. Ijapokuwa tunaona walichukua hatua, tunasema ya kwamba hao watu wawili walikufa bila ripoti yao kujulikana au wakenya kuambiwa walikufa kwa sababu gani. Hii ni hatua mbaya na tunataka kuiua kwa sababu mpaka leo hatujajua kilicho waua Sheikh Aboud Rogo na Abubakar Makaburi. Famila yake na watu wa Mombasa kwa ujumla wanauliza mpaka leo ni kwa nini waliuawa. Bw. Spika, naunga mkono---"
}