GET /api/v0.1/hansard/entries/1567655/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1567655,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567655/?format=api",
"text_counter": 137,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13592,
"legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
"slug": "onyonka-richard-momoima"
},
"content": "Swala ambalo limeletwa katika Seneti hii ni jambo ambalo Sen. (Dr.) Khalwale amelichambua sana. Ukweli ni kwamba kazi ya Seneti ni kuhakikisha kuwa sisi ni nyapara; watu ambao wamepewa jukumu na wananchi kuhakikisha kuwa pesa za wananchi wa Kenya zinazotakiwa kufanya kazi mashinani zifanye kazi hiyo. Hii ni kuhakikisha kuwa serikali kuu ikishachukua ushuru wetu, tunagawa pesa hizo halafu zinaenda mashinani."
}