GET /api/v0.1/hansard/entries/1567656/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1567656,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567656/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13592,
        "legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
        "slug": "onyonka-richard-momoima"
    },
    "content": "Kulingana na vile Sen. (Dr.) Khalwale amesema, ukitembea Kenya nzima katika maeneo gatuzi 47 yote, kuna miradi ambayo haijafanyika na fedha zinafujwa. Ukiangalia miradi ile ingine ambayo imepewa fedha nyingi, hata juzi nimepata ujumbe kuwa kuna maeneo mengine ambayo miradi iko kwa karatasi ya serikali, lakini ukienda pale, miradi ile hakuna."
}