GET /api/v0.1/hansard/entries/1567659/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1567659,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567659/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13592,
        "legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
        "slug": "onyonka-richard-momoima"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika ningependa kukusihi kama yule anayetusimamia katika hii Seneti kwamba ni wajibu wetu kama viongozi ambao tumepewa jukumu la kuhakikisha tumechunga na kulinda pesa za wananchi maskini katika nchi yetu, tuondoke hapa Nairobi, tuende tukatembee mashinani."
}