GET /api/v0.1/hansard/entries/1567680/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1567680,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567680/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omogeni",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13219,
        "legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
        "slug": "erick-okongo-mogeni"
    },
    "content": "Ninaomba kamati itakayoshughulikia suala hili ichukulie jambo hili kwa uzito sana. Tutafute suluhisho na wanaohusika katika hizi benki wafutwe kazi. Sitaki kwenda kwenye benki, nikitoa pesa niwe ninakimbia na kushangaa iwapo nitafika nyumbani. Naunga mkono."
}