GET /api/v0.1/hansard/entries/1567788/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1567788,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567788/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Korir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Tumekuwa tukishuhudia migomo kila mara. Ni lazima kuwe na njia ya kusaidia watu wetu wanapokuwa na wagonjwa ili tuweze kuokoa maisha. Ilikuwa kero kubwa kuona mtu ameshika mtoto mdogo aliyekufa. Mtu huyo alikuwa anajua kuwa angesaidiwa lakini mtoto alikufa huku madaktari wakiangalia bila kutoa usaidizi wowote."
}