GET /api/v0.1/hansard/entries/1567789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1567789,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567789/?format=api",
"text_counter": 271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Korir",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Naunga Sen. Mungatana mkono kuwa tunafaa kuwa na taratibu ya jinsi ya kufanya kazi. Tunafaa kuwa na sehemu za kuripoti ama kuwe na watu wa kusaidia katika hospitali hata kama kuna mgomo. Inafaa kujulikana kama mtu ni mgonjwa sana ilhali hawezi kutibiwa katika hospitali fulani ili apelekwe katika hospitali nyingine kuliko kuangalia mtu hadi apoteze maisha yake."
}