GET /api/v0.1/hansard/entries/1567790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1567790,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567790/?format=api",
"text_counter": 272,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Korir",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ripoti hii kuhusu Annita ilitolewa kabla ya kisa kilichofanyika jana. Kuna mengine yamefanyika ambayo bado hayajawekwa kwenye mtandao. Sisi kama Seneti tunafaa kuweka taratibu za kufuatwa ili watu wetu waweze kusaidika."
}