GET /api/v0.1/hansard/entries/1567791/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1567791,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567791/?format=api",
"text_counter": 273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Korir",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Spika wa Muda, ni maajabu sana kuwa sisi ndio hupitisha pesa za mambo ya afya zinazokwenda kwenye kaunti zetu. Cha ajabu ni kuwa ukienda kule, hakuna hata dawa za kutuliza uchungu. Ni aibu sana kuwa na hospitali ambazo madaktari hawalipwi kulingana na kazi yao. Lazima tuangalie pande zote mbili. Wakati mwingine tunaegemea upande wa madaktari na kulalamika kuwa wameacha hadi mtu akafa. Pengine hakuna The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}