GET /api/v0.1/hansard/entries/1568867/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1568867,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1568867/?format=api",
"text_counter": 325,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda. Nawakaribisha wanafunzi wote wa kutoka Narok na Nyeri. Nataka kuwaambia wawe na moyo wa kuamini kwamba kila kitu kinawezekana. Sisi pia tulitoka hapo tukitamani, lakini leo tuko hapa kama viongozi. Kwa hivyo, nawaambia wasome kwa bidii. Wao pia wanaweza, siku moja, kuwa Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi kama Mhe. Kimani Ichung’wah, au kuhudumu katika Bunge hili mara tatu kama Mhe. Bady Twalib."
}