GET /api/v0.1/hansard/entries/1568941/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1568941,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1568941/?format=api",
"text_counter": 399,
"type": "speech",
"speaker_name": "Emurua Dikirr, UDA",
"speaker_title": "Hon. Johana Kipyegon",
"speaker": null,
"content": "La tatu, pia tungependa serikali itujulishe kuhusu mauaji ambayo yanaendelea Kenya nzima, ikijumuisha Angata Barikoi na priest aliyeuawa kwa risasi juzi. Baada ya hawa watu watano kuuawa, mtu mwingine aliuawa kwa risasi siku mbili baadaye. Lakini hakuna mhusika amekamatwa kufikia leo. Hakuna mtu kati ya waliowaua wale watano amekamatwa. Yule mmoja anayeitwa Lagat pia hajakamatwa kuhusiana na mauaji. Watu waliomuua priest juzi, ambaye hata hajazikwa, hawajakamatwa. Kwa hivyo, tunataka kujua kama Serikali inahusika na mauaji haya, ama wameshindwa kutekeleza kazi."
}