GET /api/v0.1/hansard/entries/1569251/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1569251,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1569251/?format=api",
"text_counter": 206,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Hili ni jambo ambalo limekuwa likirejelea mara kwa mara. Kwa hivyo, ni wakati yafaa uchunguzi ufanywe ili tuweze kutambua ni kina nani ambao wako nyuma ya maafa haya. Haiwezekani kila wakati familia zinapoteza wapendwa wao na pengine kuna mtu nyuma, kama vile nimesikia Mhe. Owen Baya akisema; hasa mambo ya mashamba. Si sawa mali ya watu kupotea. Hata kule Kongowea, wanabiashara waliathirika pia na moto mkubwa sana ndani ya hilo soko na kupoteza mali yao lakini hakuna fidia ambayo wamepata mpaka leo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}