GET /api/v0.1/hansard/entries/1569252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1569252,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1569252/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Pale Ziwa la Ng’ombe pia moto mkubwa ulianza na kuathiri familia nyingi; watu walipoteza wapendwa wao. Katika National Government Affirmative Action Fund (NGAAF), tuna disaster funds ambazo yafaa tupate ili tusaidie watu wetu lakini hutuzipati. Naomba haya mambo yaangaliwe kwa kina. Poleni sana Mhe. wa Kibra na Mhe. Omboko Milemba. Mwenyezi Mungu awape subra kwa wakati huu mgumu."
}