GET /api/v0.1/hansard/entries/1569833/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1569833,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1569833/?format=api",
"text_counter": 45,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Swali langu halitakuwa tofauti na lile la Kiongozi wa Wengi Bungeni. Tuko na tatizo sawia katika sekta ya posta. Wale waliyostaafu bado wanahangaika kutafuta marupurupu yao ya uzeeni. Tungependa Bw. Waziri atueleze kuna shida gani wakati watu wametumia ujana wao kuitumikia Serikali yetu na wanapofika uzeeni na kustaafu wanaanza tena kuhangaika kutafuta kiinua mgongo chao."
}