GET /api/v0.1/hansard/entries/1569978/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1569978,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1569978/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Hassan Ali Joho",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Ministry of Mining, Blue Economy and Maritime Affairs",
    "speaker": null,
    "content": ". Swali lilikuwa tu lile la uchimbaji mbaya wa madini. Kampuni nyingi ambazo zili-reaply, haziwezi k uqualif y kwa sababu waliwacha the mines ambazo walikuwa nazo awali kwa hali ambayo haistahili. So, for Tana River, tumepeana leseni kama nne hivi za gypsum baada ya ushauriano na the local leadership ; Mjumbe, MCAs na by extension, the county. So, kuna operations ambazo zimeanza – about fourcompanies . Nataka kuwahakikishia ya kwamba shida ya mining ilikuwa – na hiyo pia inahusisha Garissa – watu walikuwa wanachimba gypsum kutumia a mining permit . Kwa"
}