GET /api/v0.1/hansard/entries/1569988/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1569988,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1569988/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hatujaweza kupata details kuonyesha vile zile pesa zilitumika kikamilifu kwa wanawake ambao walisaidiwa na msaada huu. Lakini, naalika Seneti to engage with theNGO directly to open up more. Kwa sasa, walitupatia habari tulizonazo kwamba wametumia pesa kiasi hik na vikundi kiasi hii vya Mombasa, Lake Victoria, Kilifi na kwengineo. Swali la tatu ni kuhusu Bandari Maritime Academy, vile inavyofanya mafunzo na"
}