GET /api/v0.1/hansard/entries/1570003/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1570003,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570003/?format=api",
"text_counter": 215,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Kwanza, ningependa kumpongeza Waziri kwa kazi nzuri anayofanya. Swali langu ni kuhusiana na mambo ya uvuvi haramu. Kuna uvuvi haramu unaoendelea kwenye bahari zetu na unaharibu mazingira. Sijui Wizara iko na mipango gani ya kuzuia uvuvi haramu unaoendelea. Nikitoa mfano kama Lamu, kuna wavuvi wanaotoka sehemu za Pemba wanaokuja kuvua kwa magesi na machine na wanaharibu kabisa zile habitat za nyumba za uvuvi, hususan uvuvi wa lobster, kamba na kadhalika. Waziri, tunataka kujua kuna mpango gani ambao umeeka wa kuzuia uvuvi haramu na kuhakikisha watu wanafanya"
}