GET /api/v0.1/hansard/entries/1570007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1570007,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570007/?format=api",
    "text_counter": 219,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Joe Nyutu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, niruhusu nitumie Kiswahili kwa sababu kimenoga leo. Swali langu ni, je, kwa sababu ufugaji wa samaki ni kitega-uchumi kizuri, Wizara imeweka mikakati gani kuona kwamba ufugaji wa samaki na uvuvi haufanyiki tu mahali tulipo na maziwa ama bahari na kwamba tuko na wafugaji samaki pia katika maeneo ya huku bara labda kwa kutengeneza mabwawa ya kufuga samaki, ili kwamba pia wanabara wawe watu wanaofuga na kula samaki?"
}