GET /api/v0.1/hansard/entries/1570009/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1570009,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570009/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, kwanza ningependa kumjulisha Waziri hivi juzi kule Migori kuhusu mambo ya uvuvi na soko mpya zilizojengwa. Kule sehemu za Kwale, Vanga, Shimoni, Mkwiro ni visiwa ambavo kuna wavuvi wanavua kule na vyombo vyao vya kuvua ni vya zamani sana. Ningependa kujua kuna mikakati gani ya kusaidia wale wavuvi waweze kupata vyombo vya kisasa, maneti na zingine kama vile wenzetu walivyopewa sehemu ya Migori. Swali la pili ni kuhusu--- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}