GET /api/v0.1/hansard/entries/1570017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1570017,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570017/?format=api",
    "text_counter": 229,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika. Watu wamepongeza Bw. Waziri sana lakini niko na shida kwa sababu Waziri ameongea mambo yanayohusu mahali kwingine. Ziwa la Turkana limesahaulika. Tuko na rasilimali kule Marsabit kama ile dhahabu inayotoka Moyale. Pia, tuko na Ziwa la Turkana na tunapeleka samaki kule Congo. Bw. Waziri atatusaidia aje kuhusu hilo ziwa ili watu wetu wapate usaidizi wa kutoa samaki kwa njia ya haraka? Watu wa Moyale wanalia wako na gold deposits huko, lakini kuna kampuni imetoka hapa, ikachukua ardhi ya watu ya Moyale. Atachukua hatua gani kuhakikisha leseni ya hiyo kampuni imetolewa ili waende kwingine kutafuta dhahabu?"
}