GET /api/v0.1/hansard/entries/1570019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1570019,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570019/?format=api",
    "text_counter": 231,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Tabitha Mutinda",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ningependa kumpongeza Waziri wetu. Tumeona akichapa kazi na swali langu ni rahisi. Ningetaka kujua dhamana ya madini katika kaunti za mashariki, haswa kule nilikotoka na pia mipangilio ambayo Wizara ya Madini inayo ili kuwezesha yale madini yako kwa hizi kaunti kunoga na kupanuka."
}