GET /api/v0.1/hansard/entries/1570021/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1570021,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570021/?format=api",
    "text_counter": 233,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Murgor",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ningependa kuuliza Bw. Waziri kuhusu uchimbaji wa migodi ya dhahabu kule West Pokot na kama anajua uharibifu unaoendelea. Mashimo yanachimbwa kila mahali bila watu kujali na kuyafunika. Pili, wanapeleka mchanga---"
}