GET /api/v0.1/hansard/entries/1570024/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1570024,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570024/?format=api",
"text_counter": 236,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. Hassan Ali Joho): Bw. Spika, maswali yaliyoulizwa ni maswali ya muhimu sana katika hali ya kulinda rasilmali ya taifa. Kwa ujumla, nafasi ya rasilmali isipotumika, inaweza kuharibika. Ndio maana tumeweka mikakati kabambe. Kwa mfano, katika Kaunti ya Lamu, tunapanga mipango ya kutengeneza maboti ya kwenda masafa marefu na yakirudi, tuwe na bandari hususan ya samaki ili tuwasaidie kwa utengezaji wa samaki na kuhifadhi. Swali lingine nimeulizwa ni kwa nini tunaangalia maeneo yako na maziwa au bahari. Tunafaa kuelewa kwamba hata saa hii, ile centre of excellence tuko nayo iko Sagana, Nyeri na inatumikwa kwa uzalishaji wa samaki na utafiti na mafunzo ya samaki. Ningependa kuwapea mshtuko kiasi ya kwamba, hata hii Nairobi, samaki wengi wanaokuja katika soko hili ni wale wamefugwa maeneo hayana maziwa au bahari. Habari nzuri zaidi ni kwamba, siku nyingine nitawaalika maeneo ya Kakamega niwaonyeshe kina mama wanafuga samaki, wakipeleka katika kiwanda, wanatengenezwa na wanakuja huku. Bw. Spika, rasilimali ya uchumi samawati ni kubwa sana na hutajawai kuipa kipaumbele ambayo inastahili. Lakini, saa hii tuko na mikakati ya kueleweka. Ya kwanza ni kuwapea wavuvi na jamii zinazoishi maeneo hayo uweza na pia, kufunza jamii ambazo zinaishi maeneo tofauti, mbinu na namna za kupata faida kutoka hayo maeneo. Hayo ni yale maswali ya Kiswahi. Swali lingine ni lile la Seneta Eddy. Sen. Eddie had asked a question on budget on strategy as well as equipping in the Lake Victoria area and matters rescuing and searching. Our Ministry has a budget and we have a contractor on site. We are building the first state-of-the-art search and rescue centre in Kisumu. We will equip it with equipment that will fit in with the demands of the moment. I have had conversations with critical players in the industry. The number of the fisher-folk we lose every year is shocking and unbelievable. We cannot deploy the same strategy and achieve different results. Sen. Oketch is right on developing a strategy that will work today. Air rescue is critical. I had already directed, and the President is in concurrence with our plan, that we must deploy air rescue in Lake Victoria and the coastal region of our Indian Ocean. Mr. Speaker, Sir, we have a responsibility of ensuring that we secure our valuable resources as a country like the blue economy and minerals. For long, we have had illegal activities in all areas like Pokot, Turkana, Migori – which is worse, Kwale, Taita-Taveta and Tharaka-Nithi; where we are blessed with critical and future minerals. However, we The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}