GET /api/v0.1/hansard/entries/1570061/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1570061,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570061/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Swali langu kwa Waziri ni moja tu. Katika eneo la Gichugu katika Kaunti ya Kirinyaga, kuna nguzo zilizowekwa miaka mitatu au minne za stima ambayo haijawahi kukamilishwa, kwa mfano, Gitemani, na maeneo mengine katika Kaunti ya Kirinyaga. Ningependa kujua kama Waziri ana mipango ambayo imenakiliwa ya kuhakikisha kwamba stima zinafika kwa wale ambao wanahitaji katika maeneo bunge yote, na kama iko, tunafaa tufuatlilie wapi? Kwa mfano, mimi, Seneta wa Kaunti ya Kirinyaga, nililipia"
}