GET /api/v0.1/hansard/entries/1570288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1570288,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570288/?format=api",
"text_counter": 179,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa hii nafasi. Kwanza, ninawakaribisha wanafunzi kutoka Kigumo Bendera kwa niaba ya Seneta wa Murang’a ambaye ametoka nje kidogo. Murang’a ni mojawapo ya kaunti iliyotoa watu mashuhuri ambao wamewakilisha na kufanyia Kenya hii kazi nzuri sana. Kwa hivyo, wanapoendelea na masomo, wajue kesho yao, wanaweza kuwa Seneta katika Seneti hii ama hata Rais wa nchi hii. Pamoja na kuwakaribisha, ningependa kuwaambia watie bidii katika masomo na watii walimu wao."
}