GET /api/v0.1/hansard/entries/1570326/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1570326,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570326/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hii ndio Seneti. Mmefanya vizuri kuja hapa kujifunza vile mambo yanatendeka hapa. Tunawatakia kila la heri. Nyinyi ndio viongozi, maraisi na maseneta wa kesho. Mtabobea katika mambo yote ambayo mtafanya. Jifunzeni mengi ndio muwe viongozi wa kuaminika miaka ya usoni. Asante, Bw. Spika wa Muda."
}