GET /api/v0.1/hansard/entries/1570349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1570349,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570349/?format=api",
    "text_counter": 240,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwanza, ningependa kuondoa dhana ya kwamba zile gatuzi ndogo zinaitwa “ndogo” kwa sababu ya mambo mengine. Zinaitwa “ndogo” kwa sababu kijiografia ni ndogo. Ukiangalia vigezo ambavyo vimetumika katika ugavi wa pesa ambayo inabakia kama vile wingi wa watu, zinahesabiwa zikiwa ndogo. Vile vile ukiangalia kigezo kingine kama kile cha umaskini na ufukara, zingine haziko. Kwa hivyo, ndio maana zinaitwa ndogo kwa sababu ni ndogo kwa mambo yote mazuri na mabaya pia. Bw. Spika wa Muda, taarifa iliyonifikia sasa ni kwamba Division of Revenue Act"
}