GET /api/v0.1/hansard/entries/1570357/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1570357,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570357/?format=api",
"text_counter": 248,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "takwimu ambazo naziona hapa, tutakubalia. Walakini, ningependa kusema kwamba, adui wa ugatuzi ni Bunge la Kitaifa. Sasa hivi, ukiangalia taarifa, wameangusha ule Mswada ambao tulikuwa tumepekela kule. Ndio maana nimesema kwamba, machozi ya mtengeneza jeneza hayaaminiwi katika Matanga, anakuanga biashara. Hawa ndio naongelea. Asante."
}