GET /api/v0.1/hansard/entries/157325/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 157325,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/157325/?format=api",
    "text_counter": 398,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Shaban",
    "speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Swala la waliofurushwa makwao, kulingana na Hotuba tuliyopatiwa na Rais Mwai Kibaki wakati wa ufunguzi wa Bunge hili, nina furaha kuwa Serikali imechukua mstari wa mbele. Hata Umoja wa Mataifa umeamini kwamba Serikali ya Kenya imeweza kufanya kazi kiasi fulani mpaka saa hizi."
}