GET /api/v0.1/hansard/entries/157330/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 157330,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/157330/?format=api",
    "text_counter": 403,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Janga la njaa limetukabili kwa wakati huu, na vile vile, pia tumetegemea mvua itakuwa ya kutosha. Lakini mvua inaonekana imekuwa chache. Wakulima kila mahali wamekuwa wakihangaika. Ningependa kumpongeza Rais kwa kusema kuwa Serikali yake itawasaidia wakulima kwa mbegu, mbolea na kadhalika. Ningependa kuwaomba Wakenya, hasa Waheshimiwa Wabunge, kushikana na Wizara ya Kilimo ili tuweze kuzungumza na wananchi wote ili tuimarishe kilimo hapa nchini."
}