GET /api/v0.1/hansard/entries/157749/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 157749,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/157749/?format=api",
    "text_counter": 98,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mungatana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 185,
        "legal_name": "Danson Buya Mungatana",
        "slug": "danson-mungatana"
    },
    "content": "Bw. Naibu wa Spika, suala la ukosefu wa ardhi na uskwota katika eneo la Pwani limekuwa suala gumu na donda sugu. Ningependa kumuuliza Waziri Msaidizi atuambie ameiwekea pesa kiasi gani sehemu ya Mtwapa kwa minajili ya kuwanunulia mashamba watu waliokosa mashamba? Mambo yamesemwa! Manifesto ya Rais Kibaki na ile ya Waziri Mkuu Raila Odinga zinasema kwamba watawatengea"
}