GET /api/v0.1/hansard/entries/157751/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 157751,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/157751/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "mashamba maskwota wa Pwani. Je, ni kiasi gani cha fedha ambacho Waziri Msaidizi ametenga kwa shughuli hiyo? Amezungumza kuhusu Shule ya Secondary ya Alidina Visram na Chuo cha Teknolijia cha Mombasa. Je, ni kiasi gani cha fedha kilichotengwa kuwanunulia ardhi maskwota, na kuyapima mashamba?"
}